Meya Arusha na viongozi wengine chadema wanahojiwa na polisi kwa kufanya mkutano bila kibali
Meya wa jiji la Arusha Kalist Lazaro mwenyekiti wa chadema siha,katibu wa chadema Kilimanjaro pamoja madiwani wamekatwa na polisi kwa kosa lakufanya mikutano wa ndani ambao walikuwa wakipanga mikakati ya chama bila kibalii huko siha
No comments:
Post a Comment