Wednesday, August 24, 2016

Aliyechoma maduka matatu na nyumba yakuishi ajinyonga na nguo mahababusu

Mama aliyedaiwa kuchoma maduka matatu na nyumba yake yakuishi August 21 Lemara Arusha amejinyonga kwa kutumia nguo yake nakufariki dunia

Kamanda wa polisi Arusha Charles Mkumbo amemtaja marehemu huyo kwa jina la Victoria Edward nakusema alijinyonga katika kituo cha polisi kati ambapo polisi walipata taarifa baada ya mahabausu wenzake kupiga kelele

No comments:

Post a Comment