Tuesday, September 6, 2016

Mkurugenzi Arusha adai kuwakata madiwani posho walizojilipa kinyume na katiba

Mkurugenzi wa jiji la Arusha  Athumani  Kihamia amesema ameanza  kuwakata  shilingi elfu 50  madiwani 34 wa jiji la Arusha kupitia posho ambazo wamekuwa wakijilipa kinyume na utaratibu

Kihamia amesema posho hizo ambazo walikuwakilipa hazikubaliki kisheria na ataendelea kuwalipi shilingi elfu 10 kwa ajili ya nauli

No comments:

Post a Comment