Mkuu wa wilaya ya Arusha Gabriel F. Daqarro ameshauri wananchi kuwepo katika Saccos ili kutumia fursa zitakapojitokeza nakutaka kuwepo kwa riba nafuu katika kujiunga nakukopesha,Amezungumza hayo katika mkutano mkuu wa 10 wa wanachama kutoka Arusha Soko kuu Saccos
No comments:
Post a Comment