Friday, November 11, 2016

RC na DAS Arusha walivyoshiriki kufungua daraja lililofadhiliwa na Hanspaul




Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amezindua daraja la Engutoto/Moshono lililofadhiliwa na Hans Paul lenye thamani ya shilingi milion 65 pamoja nakusikiliza kero za wananchi nakuahidi kuchangia mabati 100 huku hans paul akichangia matofali 5000 pamoja na mifuko 200 ya cement  kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha afya nakuahidi kushirikiana na wananchi katika utatuzi wa changamoto mbalimbali

Katibu tawala wa wilaya ya Arusha David Mwakiposa kwa niaba ya mkuu wa wilaya ya Arusha Gabriel F. Daqarro wamesifu jitihada zinazofanywa na wafadhili wa maendeleo nakusema watahakikisha wanasimamia nakufanikisha maendeleo kwa haraka nakuwataka wananchi kuachana na itikadi za kisiasa kwenye miradi ya maendeleo

No comments:

Post a Comment