Msajili wa Vyama amevifutia usajili wa kudumu Vyama vya CHAUSTA, APPT-Maendeleo na Jahazi Asilia kwa kukiuka masharti ya usajili.
- Vyama hivyo havina wanachama Zanzibar kwa mujibu wa kifungu 10b pia kushindwa kuweka wazi mapato na matumzi ya fedha za chama kama kifungu cha 14 kinavyoelekeza.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment