Raisi Magufuli ampongeza Trump aahidi kushirikiana naye
Leo raisi wa Tanzania John Pombe Magufuli ameandika kwenye ukurasa wake wa Twiter kumpongeza Raisi wa Marekani Donald Trump baada yakushinda kuwa raisi wa 45 wa marekani baada yakumshinda Hilary Clinton
No comments:
Post a Comment