Mama wawili wamekamatwa katika mtaa wa koni eltronic ulipo ndani ya jijini Arusha wakiwa wameiba nguo katika duka la mfanyabiashara mmoja { ambaye hakutambulika kwa haraka } na inasemekana wamama hao walikuwa wamezoea kuiba katika duka hilo na leo hii wamekamatwa nusu wachomwe moto
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment