Wednesday, December 14, 2016

Mahakama yamwachia huru aliyekuwa mwenyekiti wa UVCCM

BREAKING NEWS:Mahakama ya hakimu mkazi Arusha imwemwachia huru mwenyekiti wa UVCCM Lengai Ole Sabaya baada ya upande wa jamhuri kusema hawana nia yakuendelea na kesi hiyo

Hakimu aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo Gwanta Mwankuga amemwachia huru mtuhumiwa huyo ambaye alikuwa akikabiliwa na kesi yakujifanya mtumishi wa serikali nakughushi kitambulisho cha usaalama wa taifa

No comments:

Post a Comment