Wednesday, December 14, 2016

Pingamizi la Lema kutolewa December 16

Jaji wa mahakama kuu kanda ya Arusha Modesta Opio amesema December 16  atatolea uamuzi  Pingamizi la mawakili wa serikali la kupinga maombi ya upande wa utetezi  wa kutaka kuongezewa muda wakukata rufaa nje ya muda

Jaji Modesta amesema siku hiyo atatolea uamuzi mapingamizi hayo, na kama mahakama itayatupilia mbali kesi hiyo itasikilizwa na kama itayakubali kesi itakuwa imeishia hapo

No comments:

Post a Comment