Wednesday, December 7, 2016

Picha za jinsi mradi wa Engaruka ulivyozinduliwa

Leo mtandao wa vikundi vya wakulima MVIWATA kwa kushirikiana na shirika la TRIAS kutoka nchini Ubelgiji wameweza kufungua mfereji wa maji utakaowezesha wananchi wa Engaruka kunufaika na mgawanyo mzuri wa maji

Katibu tawala wa wilaya ya Monduli akizungumza kwa niaba ya mkuu wa wilaya ya Monduli Iddi Hassan Kimanta amesema atashirikiana na wadau wengine katika kuleta maendeleo hasa katika kupanda miti pamoja nakushirikiana katika miradi ya maendeleo






Akisoma risala ya mradi huo ambao umegharimu zaidi ya milioni 100 Damian amesema kwamba pamoja na changamoto walizozipata lakini wameweza kukamilisha mradio huo kwa kiwango kizuri

No comments:

Post a Comment