Friday, January 20, 2017

Walichoamua wapangaji wa maduka Arusha

Wafanyabiashara  1201 waliopangisha maduka ya stand ndogo na soko kuu, wamesema wanaunga mkono hatua halmashauri kutangaza notisi ya miezi 3 ili halmashauri iweze kukusanya kodi na kila mmoja aweze kupata duka kwa usawa

Josephine Exuper mwenyekiti wa wapangaji stand ndogo amesema wamekuwa wakidhulumiwa na madalali ambao ni wajenzi ile hali mikataba yao imeshakwisha

No comments:

Post a Comment