Tuesday, February 14, 2017

DC aomba wananchi watoe siri wanaohusika na madawa

Mkuu wa wilaya ya Arusha Gabriel Fabian Daqarro ameendela na ziara katika kata ya Elerai nakufanya mikutano nakukutana na wananchi wa maeneo ya kwa mama Musa,Remtula na Ngurumo nakuwaomba wananchi kutoa taarifa kwa yeyote ambaye anahusika au kutumia madawa yakulevya atoe taarifa ili hatua ziweze kuchukuliwa

Hata hivyo Daqarro amewataka watendaji wa serikali kishirikiana na wanachi katika kuhakikisha maeneo yao yanakuwa safi nakuahidi kuwashughulikia watakao kiuka agizo hilo pamoja na wale wanaotoa ilani kwa wale wanaochafua mazingira








No comments:

Post a Comment