Monday, February 13, 2017

Ziara ya mkuu wa wilaya kwenye kata za Arusha

UPDATE;Mkuu wa wilaya ya Arusha Gabriel Fabian Daqarro  ameanza ziara katika kata ya Elerai kusikiliza kero pamoja nakutolea ufafanuzi baadhi ya changamoto ambapp amewataka watendaji wote wa serikali kuacha kukaa ofisini nabadala yake wanze kupita katika maeneo yao

Baadhi ya wananchi ambao wamehudhuria katika mkutano huo  wamesema tatizo la soko la elerai,upatikanaji wa maji pamoja na kutokuwepo kwa miundombinu ni mambo ambayo yanayokabidhi wananchi

Aidha ziara hiyo bado inaendelea katika kata za jiji la Arusha,huku wataalamu wakitoa majibu ya kero zinazojitokeza








No comments:

Post a Comment