Monday, February 6, 2017

Siku 10 zilizotolewa na mkuu wa mkoa kwa watu wa madawa yakulevya

Mkuu wa mkoa wa Dsm Paul Makonda ametoa siku kumi wazazi na wenyeviti wote wa mitaa kuhakikisha katika familia ama mitaa yao kama kuna watu wanajihusisha na biashara ama matumizi ya dawa za kulevya wanapeleka taarifa jeshi la Polisi!.

Mzazi ama mwenyekiti wa mtaa ambaye atashindwa kutoa taarifa nae atahesabika kama mhusika wa biashara ama matumizi ya dawa za kulevya!.

No comments:

Post a Comment