BREAKING NEWS;Watu saba wamefariki dunia kwenye ajali katika eneo la Mwika Makerere mkoani Kilimanjaro baada ya gari walilokuwa wakilitumia aina ya Toyota kugongwa na gari aina ya fuso katika ajali hiyo mwandishi gazeti la habari leo Anold Swai amefariki dunia
Kamanda wa polisi kilimanjaro wilbroad Mutafungwa amesema katika ajali hiyo wapo pia majeruhi wawili na chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment