BREAKING NEWS;Serikali imetangaza kiwango cha chini cha elimu ya mwanahabari nikunzia ngazi ya stashahada(DIPLOMA)nakuendelea.
Pamoja na hayo serikali imetoa kipindi cha mpito cha miaka 5 kuanzia january 1 2017 kwa waandishi wasio na sifa ya diploma wakasome
*Kauli ya waziri wa habari sanaa utamaduni na michezo Nape Nnauye
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment