BREAKING;Diwani wa kata ya kimandolu CHADEMA Rhyson Ngowi amesema wanaomkataza kufanya kazi na mkuu wa wilaya ya Arusha Gabriel Fabian Daqarro na mkurugenzi wa jiji Athumani Kihamia pamoja viongozi wengine ni vichaa na yeye anatekeleza ilani ya chama kilichopo madarakani
Amesema hua hapendi siasa za mafarakano na atawapa viongozi ushirikiano
#Ziara ya Dc Kimandolu
No comments:
Post a Comment