Wednesday, March 1, 2017

Raisi magufuli na mstaafu Mkapa wamesali kanisa moja leo

Rais John Pombe Magufuli na Rais Mstaafu  Benjamini Mkapa leo wamesali ibaada ya majivu katika Kanisa la Mtakatifu Petro lililopo Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment