Tuesday, October 8, 2013

MGOMO WA MABASI WA MASAFA MAREFU WACHELEWESHA ABIRIA,RPC ARUSHA AINGILIA KATI

Abiria wakiwa hawajui la kufanya katika Kituo Kikuu cha mabasi jijini Arusha leo asubuhi   wakisubiri hatma yao baada ya wamiliki wa magari ya safari ndefu kutangaza mgomo wa nchi nzima kupinga viwango vipya vya malipo kwenye Mizani hata hivyo baada ya mazungumzo na Jeshi la Polisi mkoa walianza safari

Kamanda wa kikosi cha Usalama barabarani mkoa wa Arusha,Marison Mwakyoma akizungumza na madereva kuwasafrisha abiria leo asubuhi

No comments:

Post a Comment