Mwenyekiti
na Wajumbe wateule Mamlaka ya wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri
wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Khamis Suedi Kagasheki (MB) (wapili
kutoka kulia kwa waliosimama msitari wa mbele) mara baada ya kuzinduliwa
rasmi katika Ukumbi wa Ngorongoro ulioko Maqkao Makuu ya Wizara ya
Maliasili na Utalii jijini Dar es salaam
VYOMBO
VYA HABARI HAPA NCHINI VIMETAKIWA KUWA MSTARI WA MBELE KATIKA KUTANGZA
VIVUTIO VYA KITALII VINAVYOPATIKANA NCHINI KWA LENGO LA KUAPATA FURSA
MBALIMBALI PAMOJA NA KUBORESHA NA KUINUA UCHUMI
HAYO
YAMEELEZAWA NA MAKAMU WA RAISI MH MOHAMED GHARIB BILAL WAKATI WA UFUNGUZI WA
MKUTANO MKUU WA MWAKA WA 21 WA CHI ZA KUSINI MWA JANGWA LA SAHARA
KWENYE UTANGAZAJI(SOUTHERN AFRICA BROADCAST ASSOCIATION SABA ULIOFUNGULIWA
LEO JIJINI ARUSHA
BILAL
AMEONGEZA KUWA NI WAKATI MZURI ZAIDIKWA WAANDISHI WA HABARIN KUELEZEA MBUGA
MBALIMBALI ZA KITALII ZINAZOPATUIKANA KIWA LENGO LA KUONGEZA FEDHA ZA KIGENI
AMBAZO ZITATUMIKA KATIKA KUTEKELEZA MIRADI MBALIMBALI
KWA
UPANDE WA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII BALOZI KHAMISI KAGASHEKI ALISEMA
SERIKALI IMESEMA KWAMBA INAENDELEZA OPERATION TOKOMEZA AMBAYO ITAHAKIKISHA
INALENGA ZAIDI KUONDOA UJUANGILI AMBAO UMEONEKANA UKIKITHIRI KILA
KIKICHA
KAGASHEKI
AMEONGEZA KUWA TAYARI KATIKA OPERESHENI HIYO KUNA BAADHI YA VIONGOZI NA
BAADHI YA VIGOGO WA SERIKALI WAMEKWISHA KUKAMATWA NA PINDI UCHUNGUZI WAO
UTAKAPO KAMILIKA WATAPELEKWA MAHAKAMANI KUJIBU TUHUMA ZIANZOWAKABIDHI.
NAYE
INOSENT MONGI AMBAYE NI MENEJA MAMLAKA YA MALWASILIANO KATIKA MAMLAKA YA
MAWASILIANO NCHI TANZANIA TCRA PAMOJA NA MAMBO MENGINE AMEELEZA KUTUMIKA KWA
MFUMO WA DIGITALI ILI KUFANIKISHA SUALA LA MAWASILIANIOO
MONGI
ALISEMA KUWA KAMA WATANZANIA WATAKUWA WAJANJA WANAWEZA KUTENGENEZA FILAMU ZA
KISWAHILI AMABAZO ZITAKUWA NA MSHIKO KWA WATU WA NJE JAMBO AMBALO LITAKAZLO
WAVUTIA WATALII KUTEMBELEA NCHINI HASA ZAIDI KWA KUTUMIA MFUMO WA URUSHAJI WA
MATANGAZO WA DIJITALI ILI KUWAFIKIA KIURAHISI
MKUTANO
HUO ULIWEZA KUDUMU KWA SIKU TAKTIBANI UKIHUSISHA NCHI MBALIMBALI ZA KUSINI
MWA JANGWA LA SAHARA KATIKA MASUALA YA UTANGAZAJI(SADEC)AMBAO UMEWEZA
KUJADILI CHANGAMOTO PAMOJA NI JINSI GANI YA KUBORESHA MASUALA YA UTANGAZAJI
KATIKA MFUMO WA DIJITALI KATIKA NCHI HIZO NA NAMNA YA KUKUZA UTALII
|
No comments:
Post a Comment