Akijibu
swali la papo kwa papo asubuhi hii,Waziri Mkuu Mhe Mizengo
Pinda,amesema kama Mh Raisi na Bunge vinaona yeye ni mzigo na hana
uwezo,yupo tayari kuachia nafasi hiyo,,Mh Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo
asubihi hii kufuatia swali la Mbunge wa kuteuliwa Lukia Kasim
Ahmed,aliyetaka kujua msimamo wa waziri mkuu kufuatia kauli ya katibu
mkuu wa ccm Abdulahman Kinana kuwa kuna mawaziri mizigo,na kauli ya hivi
karibuni ya Kangi Lugola kuwa Mh Pinda ndiyo Mzigo kwenye serikali.Mh
Pinda amesema nafasi uwaziri mkuu ni ngumu na yupo tayari kuitema kama
Raisi ataamua ama bunge likiamua kumjadili........
No comments:
Post a Comment