Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza (Mabina) auwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe

Aliyekuwa
mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza ndg CLEMENT MABINA ameuwawa na
wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe huko maeneo ya Kisesa jijini
Mwanza. Chanzo
cha kuuwawa ni kwamba mabina aliwanyang'anya ardhi wananchi hao na kesi
ikawa mahakamani na leo mchana Mabina bila kibali cha mahakama alikuwa
anapanda miti na kujenga msingi wa nyumba ndipo wanachi wakaenda kumhoji
iweje anapanda miti na kuweka msingi kwenye viwanja hivyo ilhali kesi
ipo mahakamani?
Mabina akaanza kutoa lugha chafu na
Mabina akaanza kutoa lugha chafu na
No comments:
Post a Comment