Wednesday, March 2, 2016
Raisi Magufuli aanza kutumbua jipu Jumuiya ya afrika mashariki EAC
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI AMEENZA KUTUMBUA JIPU EAC KWA KUSEMA KWAMBA GHARAMA WALIZOTUMIA KATIKA KUANDAA MKUTANO NI KUBWA NA FEDHA HIZO ZINGETAKIWA ZITUMIKE KUNUNUA MADAWATI NA KWENDA KUTAFUTA MAKUBALIANO KATIKA NCHI YA BURUNDI
HATA HIVYO MAGUFULI AMEONGEZEWA MUDA WA MWAKA MMOJA KUENDELEA KUWA MWENYEKITI WA EAC,LAKIN PIA WAMEKUBALIANA NCHI YA SUDAN KUWA MWANACHAMA WA EAC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment