RAIS WA ZANZIBAR ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA PADRI MUSHI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dkt.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akitoa salamu ya Mwisho kwa mwili wa Marehemu
Padri Evarest Mushi,katika Kanisa la Minaramiwili Mjini Zanzibar, Padri Gabriel
Mushi,aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu wasijuilikanwa Jumapili
iliyopita,na atazikwa leo Kijini Kitope Wilaya ya Kaskazini B Unguja,(katikati)
Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar Augustino Shao.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dkt.Ali Mohamed Shein,akiwasalimia wananchi wakati alipofika katika Kanisa la
Minaramiwili Mjini Zanzibar kutoa salamu ya Mwisho kwa Padri Evarist Gabriel
Mushi,aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu wasijuilikanwa Jumapili
iliyopita,na atazikwa leo Kijini Kitope Wilaya ya Kaskazini B Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dkt.Ali Mohamed Shein,akitia saini kitabu cha maombolezi ya Padri Evarist
Gabriel Mushi,katika Kanisa la Minaramiwili Mjini Zanzibar,ambapo alifika kutoa
salamu ya mwisho kwa Padri huyo,aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu
wasijuilikanwa Jumapili iliyopita,na atazikwa leo Kijini Kitope Wilaya ya
Kaskazini B Unguja,(kushoto) Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar Augustino
Shao.
No comments:
Post a Comment