Wednesday, April 3, 2013

JAY DEE AZIDI KUFUNGUKA ATAJA MAJINA YA WASANII WALIOKATAZWA KUPIGA SHOW NYUMBANI LOUNGE


Kama siku mbili tatu hizi mwanadada Komando Lady Jay Dee (Jide) ambae anafanya fresh na ngoma yake ya Joto Hasira akiwa na Prof. Jay ameonekana akifunguka na kutoa ya moyoni, issue kubwa ni kuhusu nyimbo zake kutopigwa na kituo flani cha radio, leo amefunguka zaidi na kutaja wasanii wawili ambao walikatazwa kufanya show Nyumbani Lounge sehemu ambayo inamilikiwa na Jide.
Ben Pol nae akajibu

No comments:

Post a Comment