Tuesday, May 28, 2013

BAADA YA MISUKOSUKO MINGI ALIYOPATA ADAMU MCHOVU BADDA YA FACEBOOK ACOUNT YAKE KUTOA PICHA ZA UTUPU ZA JAYDEE AMEAMUA KUMALIZIA HIVI

  • Adam Mchomvu Mi namuachia mungu ... Ya duniani yatalipwa hapa hapa, anayetengeneza mazingira haya kunichafua ni Baraka zinaongezeka .. I keep on moving sirusishwi nyuma na kauli zenu zilizojaa chuki, dharau maisha Yanaendelea
    Like · Reply · 18 · 3 hours ago via mobile
  • Adam Mchomvu Ebanaeeh mbona ivi jamaa??? Siwezi kumtukana mtu yeyote Mimi sio Wa hivo izi lawama bure tu kwangu sihusiki na Jambo lolote Kama Hilo
    Like · Reply · 5 · 3 hours ago via mobile
  • Adam Mchomvu Kiukweli napata lawama nyingi matusi mengi bila kujua kosa langu.. Account yangu ni hii sina nyingine na sijui nn kimeendelea huko, kiroho safi tu naomba mtu aniambie kuna nini wapi nijue ivi mtanilaumu bure tu.. No hard feelings



No comments:

Post a Comment