Tuesday, May 28, 2013

MAMA KIJACHO WA NEY WA MITEGO NIZAIDI YA MREMBO MTIZAME HAPA

Kama Tunavyo fahamu kuwa Nay wa Mitego ni baba mtarajiwa. Mara nyingi Nay amekuwa akiweka picha ya mpenzi wake anayetarajia kumzalia mtoto hivi karibuni lakini hujawahi kuona picha yake inayoonekana vizuri zaidi. Tazama picha hizi za shemeji/wifi yetu zilizochukuliwa kwenye show ya Nay na Diamond, DaLive weekend iliyopita

.

No comments:

Post a Comment