Thursday, June 27, 2013


OMMY DIMPOZ AWAOMBA MASHABIKI WASIDANGANYIKE KWA KWA KUDANGANYWA NA WATU WASIO NA NIA NZURI WALIOFUNGUA ACCOUNT ZA UONGO KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KWA JINA LAKE KWANI YEYE HANA ACCOUNT YOYOTE FACEBOOK BALI YEYE UTUMIA MTANDAO WA TWITTER TU NA INSTARAM TU NA SIO VYINGINEVYO HIVYO AMEWAOMA MASHABIKI KUWA MAKINI NA WATU HAO WANAOJIITA OMMY DIMPOZ MTANDAONI.

No comments:

Post a Comment