Sunday, July 14, 2013

MATOKEO HADI SASA HIVI YA UCHAGUZI WA MADIWANI ARUSHA

MATOKEO HADI SASA HIVI YA UCHAGUZI WA MADIWANI ARUSHA

MATOKEO;

KATA YA KIMANDOLU,Msimamizi wa Kata hiyo ameweka kwenye ubao wa matangazo kuwa Chadema -2076 Elishadai Ngowi
CCM- 1167 Edna Sauli

KATA YA THEMI,Msimamizi wa Kata hiyo amemtangaza mgombea wa Chadema Kinabo Edmund(Kaburu) 674
CCM 327
CUF  307

KURA ZAHESABIWA CHADEMA YAONGOZA

Wasimamizi wakihesabu kura



Kura zikihesabiwa kwenye kituo cha Kaloleni

Mbunge wa Arumeru Mashariki,Joshua Nassari  akiwa na mgombea udiwani kupitia Chadema,Emmanuel Kessy,James Ole Millya na wanachama wengine wakisubiri matokeo

Polisi wakiimarisha ulinzi Kaloleni

Mbunge wa Arusha mjini,Godbless Lema akizungumza na wafuasi wa Chadema wakati wakisubiri matokeo Kata ya Elerai jioni hii
Wafuasi wa Chadema wameanza kusherekea ushindi. chanzohttp://rweyemamuinfo.blogspot.com/       

No comments:

Post a Comment