NEWS ALERT: MTI MKUBWA WAPIGA MWELEKA MCHANA HUU ENEO LA SEAVIEW
Sehemu
ya mashuhuda wa tukio la kuanguka mti mkubwa katika barabara ya Sea
View,Upanga jijini Dar es Salaam,baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo
wamesema kuwa chanzo cha kuanguka mti huo ni ukongwe wa mti huo.
Muonekano wa Mti huo.
Mti huo ukiwa umeangukia ukuta.
Baadhi ya wamiliki wa magari hayo wakijadiliana mara baada ya magari yao kuangukiwa na mti huo.
Hawa ndio waliokuwa wamekaa kwenye hivyo viti.chanzo Issamichuzi blog
No comments:
Post a Comment