WEMA SEPETU AZUA TAFRANI KUHUSIANA NA PICHA ZAKE ZA NUSU UCHI
Baada
ya mtandao huu kutupia picha ya paja la wema sepetu na
kuelezea jinsi lilivyoharibiwa na MIKOROGO, wadau mbali mbali
wamekuwa wakitoa maoni yao na kudai kuwa Ngozi ya paja hilo
sasa haina tofauti na ngozi ya kiti moto ( ngurume)Wema Sepetu ni miongoni mwa wasanii walioathiriwa sana na Mikorogo.Matumizi ya madawa ya kujichubua yamemfanya msanii huyu maarufu nchini aharibike ikilinganishwa na jinsi alivyokuwa mwaka 2006 wakati aliponyakua taji la Miss Tanzania....
Athari za madawa hayo zilianzia mapajani na sasa zimekuwa zikipanda juu kuelekea usoni...
"Nimeshangaa sana kuliona paja la Wema.Ivi ni kwa nini anakubali kupiga picha kama hiyo wakati anajijua tayari keshakuwa kituko.?? Paja gani hilo? Linatofauti gani na ngozi ya nguruwe???"...Alifunguka mdau mmoja alipokuwa akipiga stori na mpekuzi wetu
CHANZOhttp://www.babamzazi.com
No comments:
Post a Comment