MISS NORTHERN KUCHUANA KESHO KATIKA UKUMBI WA TRIPLE A JIJINI ARUSHA
Mwalimu Joseph anayewanoa warembo wakiingia kwenye Botanic Garden eneo la Sakina jijini Arusha |
Wanyange wakijiachia kwa taswira |
Baadhi ya wanyange watakaochuana hapo kesho kuwania taji la Miss Northern lililoandaliwa na kampuni ya Mwandago Investment ambalo linatoa nafasi ya kumpata Miss Tanzania |
Baadhi ya wanyange watakaochuana hapo kesho kuwania taji hilo ambalo linatoa nafasi ya kumpata Miss Tanzania |
Baadhi ya wanyange watakaochuana hapo kesho katika ukumbi wa Triple A kuwania taji hilo ambalo linatoa nafasi ya kumpata Miss Tanzania. |
Mapozi ya kupata taswira ya wanyange wa Kanda ya Kaskazini |
Mapozi tu |
Warembo watakaochuana kutwaa taji la mlimbwende wa kanda ya Kaskazini wakiwa katika hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara,wilayani Monduli mkoa wa Arusha |
Warembo wakiwa kwenye picha ya pamoja walipotembelea hifadhi ya Taifa ya Manyara |
Wanyange wakiwa katika pozi |
Mdau wa utalii akiwa na warembo katika hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara walikoenda kuangalia vivutio mbalimbali |
No comments:
Post a Comment