Diamond Platinum baada ya kumaliza kutambulisha video ya wimbo wake mpya
Number One kwa heshima aliamua kumwita mbele msanii mkongwe 'Ngurumo'
na kumkabidhi gari ya aina ya Funcargo Sababu za kumpa gari alisema
amesikitishwa sana baada ya kusikiliza Ngurumo toka enzi za ujana wake
hajawahi kumiliki gari
mpaka kustaafu kwake |
No comments:
Post a Comment