ANGALIA PICHA DIAMOND ALIVYOWEKA HISTORIA NEW JERSEY NCHINI MAREKANI
Wapenzi wa Diamond wakipagawa na show ya Diamond iliyofanyika All Star Club Elezabeth NJ.
Shabiki akidata na show ya prezidaa wa Wasafi.
Shabiki mwingine akidatishwa na moja ya wimbo wa Diamond na kushindwa kujizuia kupanda jukwaani.
Mashabiki wa Diamond wakipagawa huku wengine wakipata taswira za hapa na pale.
All
Star Club Elizabeth New Jersey; Diamond akikamua licha ya show
kuchelewa kuanza na wapenzi wa Diamond kushikwa na jazba wakitaka
aendelee lakini ikashindika kutokana na muda wa kufunga club kufika.
AJ nae akifanya yake baada ya kupewa nafasi ya ufunguzi katika show hiyo iliyofanyika New Jersey.
AJ
Ubao na Dirty Hary wakishambulia jukwaa kwenye show ya kufungua pazia
iliyofanyika New Jersey na baadaye Prezidaa wa Wasafi, Diamond Platnumz
kuwapagawisha mashabiki wake wa ukanda wa pwani ya mashariki.
Ni
Rais wa Wasafi akishambulia jukwaa akiwa na madancer wake kwenye show
ya kukata na shoka iliyofanyika New Jersey na kuvuta mashabiki kutoka
kila kona ya pwani ya mashariki ambayo ni DC, PA, NJ, NY, CT, MA na
kwingin
No comments:
Post a Comment