Wednesday, June 18, 2014



Uchaguzi wa wanafunzi wa kuingia Kidato cha Tano katika shule za Serikali na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2014 umekamilika. Uchaguzi umefanyika kwa kuzingatia takwimu za matokeo ya watahiniwa waliofanya Mtihani wa Kidato cha Nne Tanzania Bara mwaka 2013.




1.BOFYA HAPA KUPATA: WAVULANA






2. BOFYA HAPA KUPATA:WASICHANA



No comments:

Post a Comment