maelfu
ya wananchi wamekwama kwa zaidi ya saa nne kufika Arusha mjini na wa
Arusha mjini kufika Usa hadi moshi baada ya malori matatu kugongana
kwenye daraja la mto nduruma iliyoko wilayani Arumeru mkoani Arusha huku
watu sita wakinusurika kufa katika ajali hiyo
No comments:
Post a Comment