BONYEZA HAPA KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA (FORM SIX) 2014 YALIYOTANGAZWA
Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 - 21,
yametoka na jumla ya watahiniwa 30,225 sawa na asilimia 85.73 wamefaulu
katika madaraja ya I- III.
Jumla
ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya
mtihani kidato cha 6 wamefaulu.
Wasichana waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825.Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420 sawa na asilimia 12.54
Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.
Wasichana waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825.Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420 sawa na asilimia 12.54
Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.
No comments:
Post a Comment