MH FREEMAN AIKAEL MBOWE ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI CHADEMA TAIFA
Hatimaye Mhe Freeman Aikael Mbowe
Amechaguliwa Tena kuwa mwenyekiti wa Chadema Taifa kwa kupata kura 789
sawa na asilimia 97.3 ya kura zote. Aliyeshinda nafasi ya Makamu
mwenyekiti Bara ni Profesa Abdallah Safari kwa kupata kura 775 sawa a
asillimia 95 na nafasi ya Makamu mwenyekiti Zanzibar ameshinda Mh Saidi
Issa Mohamedi kwa kupata kura 645 sawa na asilimia 79.
No comments:
Post a Comment