RAIS MUSEVENI AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MOJA
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Yoweri Kaguta Museveni wa
Uganda muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa
wa Mwalimu Julius Nyerere kwa ziara ya kikazi ya siku moja.Rais
Dkt.Jakaya Mrisho kikwete akimtambulisha kwa Rais Museveni Mkuu wa
Majeshi ya Tanzania Jenerali Davies Mwamunyange muda mfupi baada ya
kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere
kwa ziara ya kikazi ya siku moja.Kushoto ni Inspekta Jenerali wa Polisi
Ernest Mangu.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa
Uganda wakikagua gwaride la Heshima lililoandaliwa na jeshi la Wananchi
wa Tanzania.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Yoweri Museveni wa Uganda wakikagua ngoima za utamaduni.Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu jijini Dar es Salaam Rais
Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda na kufanya naye mazungumzo.Rais
Museveni yupo nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku moja(picha na
Freddy Maro)Rais

Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment