BREAKING NEWS!! AJALI MBAYA ARUSHA ENEO LA USA WATU TISA WAFARIKI DUNIA MUDA HUU.... samahani kwa picha hizi
Watu
9 wamekufa na wengine 2 wamejeruhiwa baada ya basi dogo la abiria
Toyota Hiace kugongana uso kwa uso na lori mafuta katika eneo la Usa
River, Arusha
No comments:
Post a Comment