SIKU JAJI MKUU ALIPOMJULIA HALI RAIS KIKWETE MAREKANI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea
na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman pamoja na ujumbe wake
waliopomtembelea na kumjulia hali Jumapili Novemba 16, 2014 katika
hoteli maalumu jirani na Hospitali ya Johns Hopkins jijini Baltimore,
Maryland, Marekani anakoishi baada kutoka katika hospitali hiyo
alikofanyiwa upasuaji wa tezi dume.
Jaji Mkuu na ujumbe wake wako
Marekani kwa ziara ya kikazi ambapo pamoja na mambo mengine yeye na
ujumbe wake watahudhuria mkutano maalumu wa kimataifa wa Mabadiliko ya
Sheria ya Ushahidi jijini Washington na pia kukutana na taasisi
mbalimbali za fedha na marafiki wa maendeleo katika ili kupata wabia wa
ujenzi wa maendeleo ya mahakama
. Wengine kutoka kushoto ni Balozi wa
Tanzania nhini Marekani Mhe Liberata Mulamula, Jaji wa Mahakama ya
rufani Mhe Ibrahim Juma, Msajili wa Mahakama Kuu Mhe Ignass Kitusi,
daktari wa Rais Profesa Mohamed Janabi na Mtendaji Mkuu wa Mahakama Mhe
Hussein Katanga.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea
na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman aliyemtembelea na
kumjulia hali Jumapili Novemba 16, 2014 katika hoteli maalumu jirani na
Hospitali ya Johns Hopkins jijini Baltimore, Maryland, Marekani
anakoishi baada kutoka katika hospitali hiyo alikofanyiwa upasuaji wa
tezi dume. Kushoto ni mke wa Rais Mama Salma Kikwete. Jaji Mkuu yuko
Marekani kwa ziara ya kikazi ambapo pamoja na mambo mengine yeye na
ujumbe wake watahudhuria mkutano maalumu wa kimataifa wa Mabadiliko ya
Sheria ya Ushahidi jijini Washington na pia kukutana na taasisi
mbalimbali za fedha na marafiki wa maendeleo katika ili kupata wabia
wa ujenzi wa maendeleo ya mahakama
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana
na Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman
aliyemtembelea na kumjulia hali Jumapili Novemba 16, 2014 katika hoteli
maalumu jirani na Hospitali ya Johns Hopkins jijini Baltimore, Maryland,
Marekani anakoishi baada kutoka katika hospitali hiyo alikofanyiwa
upasuaji wa tezi dume.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana
na Jaji wa Mahakama Ya Rufani Tanzania Mhe Ibrahim Juma ambaye ni mmoja
wa wajumbe wa msafara wa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande
Othman walipokwenda kumjulia hali jijini Baltimore, Maryland, Jumapili
Novemba 16, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Liberata Mulamula
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana
na Msajili wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe Ignass Kitusi ambaye ni
mmoja wa wajumbe wa msafara wa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande
Othman walipokwenda kumjulia hali jijini Baltimore, Maryland, Jumapili
Novemba 16, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana
na Msajili wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe Ignass Kitusi ambaye ni
mmoja wa wajumbe wa msafara wa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande
Othman walipokwenda kumjulia hali jijini Baltimore, Maryland, Jumapili
Novemba 16, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana
na Meja Jenerali Adolph Mutta ambaye alimsindikiza Jaji Mkuu wa Tanzania
Mhe Mohamed Chande Othman kwenda kumjulia hali jijini Baltimore,
Maryland, Jumapili Novemba 16, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana
na Afisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Dkt. Sweetbert Mkama
ambaye alimsindikiza Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman
kwenda kumjulia hali jijini Baltimore, Maryland, Jumapili Novemba 16,
2014
No comments:
Post a Comment