mtoto mchanga ambaye aamekutwa amefariki katika kichaka katika eneo la Relin themi njiro jijini arusha,Aidha mtoto huyo anasadikiwa kuwa na jinsia ya kiume ambapo jitihada za kumpata aliyetekeleza tukio hilo bado hajajulikana
Hata hivyo diwani wa kata ya Themi venance kinabo ambaye amezungumza na mimi kupitia Radio 5 amesema bado haijajulikana ametoka wap aliyekuja kukitupa kichanga hicho katika eneo hilo
Aidha mtoto huyo amehifadhiwa katika Hospitali ya mkoa ya mount meru huku jeshi la polisi likiendelea na uchunguzi zaidi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment