Wednesday, March 18, 2015


Unyama wafanyika tena Arusha ni baada ya binti kuingiziwa chupa sehemu za siri na wanawake wenzake





Binti mmoja mkoani Arusha adaiwa kuingiziwa chupa  ya soda sehemu za siri kwa kile kilichodaiwa kuwasema wenzake kuwa ni malaya

                                             picha ikimuonyesha binti aliyejitambulisha kwa jina la bi.ngowi ambaye hakupenda sura yake isiwekwe kwenye mtandao huu


 picha zote na Godfrey Thomas mmiliki wa blog inayoitwa  kiongozigod ikishirikiana na radio 5 endelea kufuatilia kipind cha radio 5 na matukio kuanzia saa mbili na robo usiku hadi saa tatu kamili utapata muendelezo mzuri zaid

No comments:

Post a Comment