Tuesday, June 30, 2015

Mh Lowasa amekamilisha ziara yake yakutafuta wadhamini Mkoani Morogoro


Mh Lowasa amekamilisha ziara yake yakutafuta wadhamini Mkoani Morogoro

Nimekamilisha ziara yangu ya kuomba udhamini hapa mkoa wa Morogoro kwa mafanikio makubwa. Asanteni sana wanaCCM na wakazi wa Morogoro kwa udhamini na mapokezi makubwa mliyonipa ambayo yameniongezea nguvu kumaliza hatua zilizobaki katika safari yetu ya matumaini.

 Asanteni Tanzania na Mungu awabariki sana.#Repost Edward Ngoyai Lowassa

No comments:

Post a Comment