Monday, December 28, 2015

Lowasa akichunga Ng'ombe

Aliyekuwa mgombea uraisi kupitia chadema Edward Lowassa aliweka picha hizi tatu

Edward Lowassa ambaye alikua mgombea urais kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2015 kupitia tikect ya CHADEMA, ameziweka hizi picha zake tatu akichunga Ng’ombe kisha akaandika haya maneno hapa chini.
>> ‘Ndugu zangu,naendelea kumshukuru Mungu kwa kila jambo. Nikiwa shambani kwangu Mzeri, Handeni nikichunga mifugo yangu naona miujiza ya Mungu ikitendeka. Mazingira ya asili ni zawadi kuu aliyotukirimu Mwenyenzi Mungu. Kila mmoja wetu kwa nafasi yake amshukuru Mungu kwa kuyathamini, kuyalinda na kuyatunza mazingira popote alipo
Lowassa 1
Lowassa 3

No comments:

Post a Comment