Jumuiya ya Afrika Mashariki imeendelea na hatua yakubadilishana uongozi ambapo sasa hivi Katibu Mkuu Dr Richard Sezibera kutoka Rwanda amemaliza muda wake nakumkaribisha Katibu mpya kutoka Burundi Liberat Mfumukeko kuendelea na nafasi hiyo nimezinasa picha za kwanza wakati wa makabidhiano
picha ya pamoja
picha ya mwisho ni katibu mkuu wa sasa akisalimiana na katibu anayemaliza muda wake
No comments:
Post a Comment