Friday, May 27, 2016

Bunge la E.A.C limesoma bajeti ya shilingi milion 101.1


wakati bunge la Tanzania likiendelea Dodoma ,bunge la Afrika Mashariki limeendelea Arusha ambapo Naibu waziri wa mamb  ya nje na ushirikiano  wa jumuiya Dr Suzan Kolimba amesoma bajeta ya shilingi milion 101.1 itakayowezesha kusaidia sekta mbalimbali za jumuiya

No comments:

Post a Comment