Friday, May 27, 2016

Jinsi Sumaye na mstahiki Meya wa Arusha walivyowasili bungeni


mstahiki meya wa jiji la arusha Kalisti Lazaro akipokea bendera ya jumuiya ya afrika mashariki kutoka kwa spika wa bunge hilo Daniel kidega walipotembelea bunge hilo
Meya katika ziara ya kutembelea bunge la jumuiya amesema ataunganisha mameya wenzake wa jumuiya hiyo kukutana na kufamiana pia kutambua shughuli za jumuiya hiyo iliopo jijini arusha

ziara hiyo imefanyika ambapo moja ya ajenda ambayo wameizungumza nipamoja na wabunge wa upinzani kuwa na uwakilishi katika bunge la Afrika mashariki

No comments:

Post a Comment