aliyekaa ndiye Maurine Ayubu Miss Arusha 2016-2017
Usiku wa may 28 ndiyo siku ambayo miss Arusha alitangazwa baada yakuwashinda washindani wake 17,Maurine Ayubu ndiye aliyeshinda taji hili ambalo lilikuwa linashikiliwa na Lilian Kamazima ambaye ndiye Miss Tanzania kwa sasa,burudani pia ilishushwa na kundi la Navy Kenzo
No comments:
Post a Comment